Unaweza ukawa na watu kibao au magroup mengi katika whatsapp ambayo yanaweza kuleta usumbufu kutokana na picha au video zinazo tumwa na hivyo kuonekana katika gallery hata kama hujaziview au kudownloadKama hauhitaji usumbufu huo na husingependa picha au video hizo zionekane katika gallery ya simu yako basi fanya na kufuata hatua fupi zifuatazo:-
Ingia katika whatsapp yako.
Nenda katika settings.
Bonyeza chats.
Ondoa alama ya vema katika sehemu iliyoandikwa show media in gallery(media visibility)
Hapo utakuwa umemaliza
Kwa changamoto zozote unazokutana nazo usihofu kuuliza hapa whatsapp inbox kwa msaada zaidi